VODACOM

mama mzazi wa zari the bossy lady afariki dunia leo hii




Mama mzazi wa Zarina Hassan maarufu kama Zari ze Bossy Lady, abaye ni mzazi mwenza wa muziki w kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul, Diamond Platinum, Halima Hassan amefariki Dunia asubuhi hii baada ya kuugua kwa muda wa wiki kadhaa na kulazwa katika hospital ya nakasero iliyoko nchini uganda akidaiwa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo na figo.


Huu ni ujumbe mfupi alioposti Zarithebosslady katika ukurasa wake wa instagram





katika picha zari akiwa na marehemu mama yake mzazi kulia(Halima Hassan), na kushoto ni Zari .

Familia nzia ya zarinah Hassan inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa bi halima hassan aliyefariki dunia leo hii asubuhi, mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi...amini....haya ni maneno alyoandika  zari katika ukurasa wake wa instagram.

zari amethibitisha kifo cha mama yake kupitia ukurasa wake wa instagram.


No comments