Ubaguzi Tanesco wananchi walalamika.

Picha na Steven Charles kejo @kejonews.com
IN SUMMARY:-
WANANCHI 144 kutoka vitongoji vya Mavumbi na Mpirani vya mtaa wa Pande A, kata ya Kiomoni wanamuomba Mkuu wa wilaya ya Tanga, kuingilia kati mvutano baina yao na Shirika la Umeme nchini (Tanesco). Akizungumza katika ofisi za gazeti hili mkoani hapa juzi, Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa huo, Mwalimu Njama alisema wamelazimika kumuomba mkuu huyo wa wilaya, Thobias Milapwa kuhusu kutekelezwa kwa ombi lao la kupatiwa umeme wa gharama nafuu kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) tofauti na uamuzi wa sasa wa shirika hilo
Post a Comment