JPM: awapongeza waandishi wa habari
Raisi john pombe magufuli pichani
By mwandishi Steven Charles kejo, kejonews,kejocharles.blogsport. com
DOKEZO:
“Niwahakikishieni kuwa kazi yenu kubwa mnayoifanya mtalipwa, kama si hapa basi hata mbinguni, huenda mkalipwa vizuri mkiwa waandishi wa malaika,” amesema
Pwani.
Pwani.
Rais John Magufuli amewasifu waandishi wa habari nchini na kuwataka waendelee kufanya kazi yao kwa bidii kwani huenda siku moja watalipwa vizuri pindi watakapokuwa waandishi wa malaika. “Niwahakikishieni kuwa kazi yenu kubwa mnayoifanya mtalipwa, kama si hapa basi hata mbinguni, huenda mkalipwa vizuri mkiwa waandishi wa malaika,” amesema Ameyasema hayo leo (Jumatano) katika ziara yake ya siku tatu mkoani Pwani ambako amezindua miradi mikubwa ya maji na viwanda vitano. Amesema waandishi wa habari wanafanya kazi kubwa ya kujitolea kwa hali na mali licha ya malipo kidogo wanayolipwa.

Post a Comment