Mzee yusufu afunguka juu ya kifo cha mke wake
Mzee Yussuf afunguka kifo cha mkewe Sunday , 18th Jun , 2017 Aliyekuwa mfalme wa taarab Alhaj Mzee Yussuf ambaye jana jioni alimpoteza mke wake wa pili (Chiku) na kichanga wakati mkewe huyo alipokuwa amepelekwa kujifungua katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam. Alhaj Mzee Yussuf Mzee Yussuf akiongea na mtangazaji Mwanne Othman kwenye kipindi cha Tam Tam za Mwambao, amesema kuwa miili ya vipenzi vyake hivyo itazikwa leo majira ya saa saba mchana Kisutu jijini Dar es Salaam na kusema msiba upo Kariakoo Mtaa wa Livingstone. Mzee ameelezea kisa kizima jinsi ilivyokuwa mpaka mkewe na mtoto kupoteza maisha wakiwa hospitali,

Post a Comment