VODACOM

Raisi wa uturuki Erdogon kuwalinda walinzi waliopiga waandamanji washington


Raisi wa uturuki Recap Tayyep Erdogon amesema atafanya kila liwezekananlo kushughulikia kuondolewa kwa kibali cha kukwamatwa kwa walinzi wake 12 ambao walionekana kuwapiga wandamanaji join I Washington.
Tukio hilo lilitokea nje ya ubalozi wa uturuki mwezi uliopita picha za video zinaonyesha walinzi wa Erdogon wakiwapiga mateke baadhi ya waandamanaji huku Raisi Erdogon akishuhudia tukio hili.


Maafisa wa marekani wanasema kuwa walinzi hao watakamatwa iwapo watarejere nchini humo wakati wowote.


No comments